Monday, April 29, 2013

Rais Kikwete,Pierre Nkurunzinza na Uhuru Kenyatta wakiaga Arusha leo

8E9U0992

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na Rais Mpya wa Kenya Uhuru Kenyatta wakiwaaga wajumbe waliohudhuria mkutano wa Wakuu wa  nchi za Jumuiya ya Umoja wa Afrika ya Mashariki uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto jijini Arusha leo(picha na Freddy Maro)

 

 

 


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...