Mwenyekiti
wa Tanzania Mitindo House (TMH) Khadija Mwanamboka (kushoto) ambaye pia
ndio Mwandaaji wa Bongo Black Ball Party iliyobeba Theme " Celebrating
Tanzania Music" kupitia kampuni yake ya Vitu vya Khadija Events &
Clothing akiwa na wadau mbalimbali kwenye mnuso wa nguvu uliowakutanisha
Masupastaa wa Bongo wadau waliopo kwenye Fashion Industry katika usiku
uliopambwa na msanii Mkongwe wa muziki nchini King Kiki a.k.a mzee wa
kitambaa cheupe pamoja na burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava
Linex na Mwasiti. Pichani Bi. Khadija Mwanamboka akiwa na wageni
mbalimbali kwenye Red Carpet ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
Designer Ally Rehmtullah ndani ya nyumba.
Blogger Missi Popular aliwakilisha kikazi zaidi.
Gyver Meena and Salma Msangi a.k.a Kimora Lee looking Gorgeous (I think these two Girls rock the night).
Mama Mia....Wow.....!
No comments:
Post a Comment